VIGEZO NA MASHARTI

1.Nauli iliyoandikwa kwenye tiketi haibadilishwi
2.Zingatia muda wa safari, Fika kituoni au sehemu ya kupandia basi nusu saa (DK 30) kabla ya muda wa safari
3.Mizigo ya ziada, itakayozidikilo20 pia ukubwa na thamani ya mzigo itatozwa gharama.
4.Mtoto mwenye umri zaidi ya miaka 3 atalipiwa nauli (tiketi).
5.Mzigo wa mkononi ndani ya bai iso dhamana yetu.
6.Endapo abiria atasitisha safari, taarufa itolewe masaa 12 kabla ya muda wa safari.
7.Endapo abiria atasitsha safari atakatwa asilimia 5 ya nauli iliyokatwa, na kwa tiketi za Online abiria atabadilishwa tarehe ya safari.
8.Nauli haitarudishwa endapo abiria atasitisha safari pasipo kutoa taarifa au kuachwa na basi kwa kuchelewa kufika kituo chake cha kupandia.
9.Vigezo na masharti kuzingatiwa.