1.Endapo abiria atasitisha safari, taarifa itolewe masaa 12 kabla ya muda wa safari.
2.Endapo abiria atasitsha safari atakatwa asilimia 5 ya nauli iliyokatwa, na kwa tiketi za Online abiria atabadilishwa tarehe ya safari.
3.Nauli haitarudishwa endapo abiria atasitisha safari pasipo kutoa taarifa au kuachwa na basi kwa kuchelewa kufika kituo chake cha kupandia.